Shower Gel
TZS 6,000.00
Sub Total:
Shower gel yenye harufu nzuri ya strawberry iliyotengenezwa na maziwa ya mbuzi, asali na viungo vingine muhimu pamoja na mafuta ya asili.
Hii ni suluhisho kamili kwa ngozi kavu na yenye mafuta. Inafanya ngozi iwe laini na yenye muundo mzuri, huku ikiiacha ikiwa imara na yenye afya.
Zinapatikana kwa flavour tatu tofauti; strawberry, chocolate & coffee na ocean blue.
Customer Reviews
Nice🌝
Good soap